Bandarini kuna magari
yanapigwa mnada gari 164 aina mbalimbali spacio,mazda
demio,vitz,ist,rav4,corolla new model,noah,carina,crown,volvo,granvia yote hayo
bei kati ya milioni 4 hadi 6 hizi gari zilikuja meli nzima za kampuni ya sbt
japan. Wameshindwa kulipia ushuru wa gari zote baadhi walilipia wakauza hizo
wameziacha.
Wale wenye hela zao dili hilo.....
utaratibu upoje?
ReplyDelete