Pages

Tuesday, March 25, 2014

''Mnada wa magari bandarini''

Bandarini kuna magari yanapigwa mnada gari 164 aina mbalimbali spacio,mazda demio,vitz,ist,rav4,corolla new model,noah,carina,crown,volvo,granvia yote hayo bei kati ya milioni 4 hadi 6 hizi gari zilikuja meli nzima za kampuni ya sbt japan. Wameshindwa kulipia ushuru wa gari zote baadhi walilipia wakauza hizo wameziacha.
Wale wenye hela zao dili hilo.....